Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano

(TCRA-CCC)

Habari

Taarifa kwa Watumiaji wa Huduma za Simu

Imewekwa : 25th Apr 2019

Taarifa kwa Watumiaji wa Huduma za Simu.


Vyombo vya habari ni wadau muhimu katika kuhabarisha umma

Imewekwa : 14th Feb 2019

Vyombo vya habari ni Muhimu katika kuufikia umma kwa karibu na haraka zaidi


WIKI YA MTUMIAJI DUNIANI

Imewekwa : 22nd Feb 2019

WIKI YA MTUMIAJI WA HUDUMA 2019


Semina za Elimu na Uhamasishaji Mikoa ya Mtwara na Lindi

Imewekwa : 11th Dec 2018

TCRA CCC iliendesha semina ya siku mbili Mikoa ya Mtwara na Lindi. Madhumuni yake ikiwa ni kuelimisha watumiaji kuhusu bidhaa za Mawasiliano zinazodhibitiwa kisheria


WIKI YA HAKI ZA MTUMIAJI BUKOBA

Imewekwa : 19th Mar 2018

Wanafunzi wa shule mbali mbali za sekondari katika Manispaa ya Bukoba wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa inatolewa na Katibu Mtendaji wa TCRA CCC (hayuko pichani) katika maadhimisho ya Wiki ya Haki za Mtumiaji Duniani iliyofanyika kitaifa Manispaa ya Bukoba hivi karibuni