Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano

(TCRA-CCC)

MKUTANO WA 39 WA SADC

17th August, 2019 -18th August, 2019

Mahali:Julius Nyerere International Convention Centre Dar Es Salaam

Mkutano wa wakuu wa Nchi za SADC umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 17 hadi 18 August 2019 Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utatanguliwa na mikutano ya viongozi wa ngazi za juu wa Serikali na kufuatiwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za SADC. Kwa kutambua umuhimu wa Kulinda na Kutetea maslahi ya wahutumiaji wa Huduma za Mawasiliano Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano TCRA CCC Litashiriki katika Maonesho ya kazi zake, kuchukua ushauri wa watumiaji pamoja na kutoa ushauri kwa Watumiaji wa huduma za Mawasiliano kwa kipindi chote cha Mkutano kuanzia wiki ya viwanda tarehe 5 hadi 9 katika viwanja vya Karimjee na baadae katika ukumbi wa Julius Nyerere.

Wote Mnakaribishwa kutembelea banda letu.


Taarifa Zaidi Bofya.HAPA